- Nuru ya Sarufi na Isimujamii. -Mitihani ya Sarufi na matumizi ya lugha na Isimujamii na Majibu. Vipengele anuwai vya sarufi ya Sekondari na Isimujamii
- Muhtasari /ufupisho -Maelekezo ya jinsi ya kujibu swali la ufupisho.
- Ngao ya sarufi (mitihani ya sarufi na matumizi ya lugha.
- KCSE Ushairi maswali na majibu. (2007-2021)-Arudhi za Ushairi ,muundo,Bahari za ushairi,uhuru wa Kishairi,mtindo na maudhui.
- Ngao ya Ushairi -Mashairi 40, maswali na majibu -vipengele 25 vya utahini wa KCSE vimelengwa.
- Dira ya Insha -maswali na majibu ya insha(insha za kiuamilifu ,mjadala,methali na mdokezo).
- Bahari ya fasihi -maswali ya Kisasa ya Tumbo lisiloshiba na Hadithi Nyingine /kigogo na Fasihi Simulizi .
- Ngao ya Isimujamii -maswali 400 na majibu.
- kielelezo cha sarufi (KCSE 2005-2021)
- Kina cha Tamthilia ya Kigogo (maswali 32 ya kisasa na majibu -madondoo,insha,umuhimu wa mazungumzo,mandhari,umuhimu wa wahusika.
- Ngao ya Fasihi -sehemu ya A-Maswali ya vitabu viteule na Fasihi Simulizi,Chozi la Heri,kigogo,Tumbo lisiloshiba na Fasihi simulizi.
- kielelezo cha fasihi simulizi ;maswali ya KCSE ya Fasihi Simulizi (2007-2021)
- Kioo cha FASIHI ANDISHI(Uchambuzi wa KCSE -VITABU 2018-2020. Maswali ,maelezo na majibu ya KNEC . Riwaya ,Tamthilia,na Hadithi fupi.
- Dira ya Fasihi simulizi (maswali na majibu mitihani ya maandalizi.
- Kina cha RIWAYA na TAMTHILIA. kigogo na chozi la HERI -Maswali ya kisasa 80 na majibu ,madondoo,insha,umuhimu ,mandhari,umuhimu wa wahusika.
- Mwanga wa Fasihi -ufunzaji wa fasihi Andishi na simulizi (maelezo ya ufunzaji wa uchambuzi wa fasihi)
- Isimujamii (Maswali ya KCSE 2006-2021)
- Nuru ya Ushairi (mashairi yaliyopendwa)
- Nuru ya Fasihi (maswali ya Fasihi)maswali na majibu ya mtihani ya Tumbo Lisiloshiba ,Chozi la Heri ,Kigogo na Fasihi Simulizi.
- Bahari ya Sarufi na Isimujamii mitihani ya matumizi ya Lugha na Isimujamii pamoja ba majibu -mfumo wa sasa wa utahini.
Free Downloads Kiswahili Revision Matarials,Ushairi,Matumizi ya Lugha,Isimujamii na Vitabu Viteule vya Fasihi
Related Posts
Add A Comment